Last KING Ontuzu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2016
- 736
- 1,214
4. Madem wa kanda ya ziwa ni watam sana, joto kama lot
Sio utamu tuu wengi ni wife material pia4. Madem wa kanda ya ziwa ni watam sana, joto kama lote.
Tatizo watu Lake Zone Bado wana ulugaluga mwingiKwenye mazuri tusifie na mabaya husemwa ili kujifunza kwa hili ni Ukweli kabisa kwa hapa Tanzania tuna watu wa maeneo tofauti tofauti na huwa na tabia zao mbalimbali hii hutokana na malezi ya jamii husika nataka niseme wazi juu ya jamii ya watu wa kanda ya ziwa na mazuri yao na maua wanastahili yapo machache kati ya mengi:
Yaani mikoa ya kanda ya ziwa Mwanza,Mara,simiyu,Geita,Kagera,Shinyanga inawatu wa tofauti sana,ingekuwa nchi ingekuwa imepiga hatua sana watu wake wamenyooka sana,hawana kona kona zisizoeleweka na ulegevu kama watu wa pwani uswahili mwingi Kama ni nyeusi ni nyeusi tuu hamna pindisha pindisha
1.Watu wa kanda ya ziwa ni watu wa kazi( si wavivu)
2. Watu wa Kanda ya ziwa ni wazalendo saana.
3.Watu wa kanda ya ziwa ni majasiri sio waoga
3.Watu wa kanda ya ziwa ni wakweli na wawazi yaani wamenyooka vyema ,kama huamini fuatilia viongozi wanaotokea hiyo mikoa,kwa viongozi waliopita na waliopo 90% wako hivyo japo mfumo mibovu iliyopo inawaathiri.
Ww unataka wote tuongee kama wa dar huku tumebana pua,au tuache asili yetu ili iweje.Tatizo watu Lake Zone Bado wana ulugaluga mwingi
Mbona Masai hamuwasemi washamba,mmekariri ujinga ujinga tu.Hiyo kanda kwa ushamba!!! Mayooo...
Hapo kwenu mwakaleli ndio sio walugaluga?Tatizo watu Lake Zone Bado wana ulugaluga mwingi
mmasai mshamba ila SIO MJUAJIMbona Masai hamuwasemi washamba,mmekariri ujinga ujinga tu.
Pole sana mkuu ukitoa hizo chuki binafsi na kejeri za kukariri ukweli unabaki palepaleHiyo kanda kwa ushamba!!! Mayooo
Ni washamba tu, jamaa na joto la Dar hili unawakuta na gunboot wananuka balaaPole sana mkuu ukitoa hizo chuki binafsi na kejeri za kukariri ukweli unabaki palepale
Dohhh.. nchi yangu [emoji16]4. Madem wa kanda ya ziwa ni watam sana, joto kama lote.
1. Ni wanafiki wakubwaKwenye mazuri tusifie na mabaya husemwa ili kujifunza kwa hili ni Ukweli kabisa kwa hapa Tanzania tuna watu wa maeneo tofauti tofauti na huwa na tabia zao mbalimbali hii hutokana na malezi ya jamii husika nataka niseme wazi juu ya jamii ya watu wa kanda ya ziwa na mazuri yao na maua wanastahili yapo machache kati ya mengi:
Yaani mikoa ya kanda ya ziwa Mwanza,Mara,simiyu,Geita,Kagera,Shinyanga inawatu wa tofauti sana,ingekuwa nchi ingekuwa imepiga hatua sana watu wake wamenyooka sana,hawana kona kona zisizoeleweka na ulegevu kama watu wa pwani uswahili mwingi Kama ni nyeusi ni nyeusi tuu hamna pindisha pindisha
1.Watu wa kanda ya ziwa ni watu wa kazi( si wavivu)
2. Watu wa Kanda ya ziwa ni wazalendo saana.
3.Watu wa kanda ya ziwa ni majasiri sio waoga
3.Watu wa kanda ya ziwa ni wakweli na wawazi yaani wamenyooka vyema ,kama huamini fuatilia viongozi wanaotokea hiyo mikoa,kwa viongozi waliopita na waliopo 90% wako hivyo japo mfumo mibovu iliyopo inawaathiri.
Namba 2 sawa, lakini hizo zingne ztaftie wateja wake mikoa mingne1. Ni wanafiki wakubwa
2. Ni washirikina wakubwa
3. Ni wajinga wakubwa
4. Wana roho mbaya
Uko sahihi kabisaKwenye mazuri tusifie na mabaya husemwa ili kujifunza kwa hili ni Ukweli kabisa kwa hapa Tanzania tuna watu wa maeneo tofauti tofauti na huwa na tabia zao mbalimbali hii hutokana na malezi ya jamii husika nataka niseme wazi juu ya jamii ya watu wa kanda ya ziwa na mazuri yao na maua wanastahili yapo machache kati ya mengi: