Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

Nimeuliza tu !!
Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
Utawala wa awamu ya tatu chini ya Hayati Benjamini mkapa ulingia mkataba tata na net group solution ya Afrika ya kusini kuchukua nafasi ya TANESCO.
Hatua hiyo ilipingwa kwa nguvu zote lakini kwa ubabe Net group wakakabidhiwa chini ya ulinzi mkali wa FFU.
Kilichofuata baada ya hapo ilikuwa ni aibu na fedheha kwa nchi.
Kwenye kitabu cha maisha yake, hayati Mkapa alijutia na kusema kuwa alishauriwa vibaya.

Je mpaka hapo hatuna la kujifunza kama nchi?
 
Back
Top Bottom