GE2025 Kuna la kujifunza kutoka kwa Jerry Muro; Madaraka ni kama koti la kuazima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Video zinajielezea, sina maneno mengi

Ya kwanza - Jerry Muro akiwa na madaraka
Ya Pili - Jerry Muro akiwa Raia wa kawaida


Your browser is not able to display this video.


V/S

Your browser is not able to display this video.
 
Huyo ni Tiss kuna mambo mengi ya kujadili sio huyo inawezekana kafanya makusudi kuchuliwa hiyo video kupata trending na kukumbukwa
 
Hamna cha TISS wala ATESA amedhoohofika sana na itoshe kusema hapo yuko mbwiii Tilalila anachowaza ni papa ya Gigi tu.
 
Alibugi kitu gani hadi akafungiwa vioo jumla?
 
Hamna cha TISS wala ATESA amedhoohofika sana na itoshe kusema hapo yuko mbwiii Tilalila anachowaza ni papa ya Gigi tu.
Kama anatumia "MBAAZI" aka "NJUGU" aka "MINJINGU" aka "BOOSTER" wamuwahi haraka.
 
Huyo ni Tiss kuna mambo mengi ya kujadili sio huyo inawezekana kafanya makusudi kuchuliwa hiyo video kupata trending na kukumbukwa
Tunapangwa sana humu.Usalama wa taifa wa wapi kiongozi?Anyway lakini anaonekana kuna kitu hakipo sawa japo umesema ni usalama wa taifa
 
Acheni kudhalilisha TISS
GERRY sio mtumishi wa usalama
Hakuna mtumishi wa usalama anayejificha wote wako wazi tuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…