GE2025 Kuna la kujifunza kutoka kwa Jerry Muro; Madaraka ni kama koti la kuazima

GE2025 Kuna la kujifunza kutoka kwa Jerry Muro; Madaraka ni kama koti la kuazima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi huyo MAHERA alimkosea nini mheshimiwa sana hadi akadhalilishwa mbele ya kadamnasi?
 
Umesema akiwa raia wa kawaida halafu umemuweka akina na 'kazi na utu'... Mkuu, raia wa kawaida anavaa kazi na utu?
 
Huyo ni Tiss kuna mambo mengi ya kujadili sio huyo inawezekana kafanya makusudi kuchuliwa hiyo video kupata trending na kukumbukwa
Mtu anaongea pekeake alafu unakuja kusema Tiss???? Tunapenda kutishiana bongo.

Sisi tunachambua tunachoona jamaa anaongea pekeake KADATA. Over
 
Huyo ni Tiss kuna mambo mengi ya kujadili sio huyo inawezekana kafanya makusudi kuchuliwa hiyo video kupata trending na kukumbukwa
Hana u TISS wowote, isipokuwa anatumika na TISS hicho brain sio ya kuwa TISS , ingawa ndani ya TISS wapo pia vilaza kulioo Jerry
 
Serkal ya Mama haishikiki, Mwana kaamua aseme na serkali ya kichwa chake.
 
Back
Top Bottom