Kuna lawama kwa walimu siku hizi kuwa walifeli mitihani, na hawafundishi

Kuna lawama kwa walimu siku hizi kuwa walifeli mitihani, na hawafundishi

Ighombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2014
Posts
1,181
Reaction score
675
Wadau kumeibuka tabia siku hizi ya kuwalaumu walimu kuwa walifeli mitihani kwa ngazi zote form four kwa wale wa shule za msingi na form six kwa wale wa sekondari.Siku hizi hata watoto wadogo wanarusha madongo kwa walimu. Hivi ni mapungufu ya walimu wetu au mfumo m,bovu wa nchi yetu wa maandalizi chekechea hadi chuo kikuu?(Karibuni tujadili) kwa kufuata vigezo vifuatavyo-:

(1) Epuka lugha ya kejeli

(2)Epuka kuchangia usi-

Chokijua kwa kuzi-

Ngatia kuwa hili ni-

Jukwaa la weledi.
 
Anayekosolewa hahitaji kulalamika kwa kuwa anajua anachokifanya kina mantiki gani. Cha msingi ni kukaa kimya maana kusema sana ni kuonekana busara finyu. Aliyemlaumu mwalimu chanzo ni mwalimu kumfundisha sana.
 
what do you want to achieve from this debate? (what is your intention?)

I want to verify whether the problems are based on teachers or the whole system is collapsed! Through the debate I can noticed something!
 
mimi ni mwalimu mtarajiwa, kwa sababu mim ndio mtarajiwa naomba nisi judge, lakn naumizwa sana na hyo perception hasa ninapoangalia matokeo yangu yaliyonipeleka DUCE halaf walimu tunaambiwa tumefeli? ngoja wataelewa tu
 
mimi ni mwalimu mtarajiwa, kwa sababu mim ndio mjadiliwa naomba nisi judge, lakn naumizwa sana na hyo perception hasa ninapoangalia matokeo yangu yaliyonipeleka DUCE halaf walimu tunaambiwa tumefeli!!!? ngoja wataelewa tu
 
mimi ni mwalimu mtarajiwa, kwa sababu mim ndio mtarajiwa naomba nisi judge, lakn naumizwa sana na hyo perception hasa ninapoangalia matokeo yangu yaliyonipeleka DUCE halaf walimu tunaambiwa tumefeli? ngoja wataelewa tu

Dawa sasa ni kukataa hoja zilizolenga kutudhalilisha kutoka watu wasio walimu.
 
Ninavyojua mim,ukiwa na kozi japo moja tu inayoonesha failed haupangiwi kituo cha kazi...sijui wanakua walifail wapi?..
 
a teacher is a source of a good teacher,doctor and engneerng.

somethng blind bind in ur mind make it kind!!!!
 
Kwa kawaida mtu akifeli lazima awachukie walimu na akifaulu anamshukuru mwalimu miaka hii ni tofauti kwanza kuna usanii kila sekita mtu anasema ana stashahada lakini ukimwangalia bora aliyemaliza la saba swali ni je hivyo vyeti wanatoa wapi ' mfano tz kila sekta wamejaa wageni . boring
 
kwa hiyo waliokuwa na degree za ualimu nao walifeli? alafu muelewe kupata four ujafeli ndo mana wapo wenye four wakaenda advance wakatoka na 1,2,or 3..shida kwamba siku hizi watu wanawadharau sana walimu na elimu zao. watu wanawatusi alafu watoto wao wapo kwa hao hao walimu.Watu wanapaswa kuheshimu kazi na si kureta dharau.
 
suala la tasnia ya ualimu ni nyeti sn ila tanzania watu wanaongea tu! Mimi nimesoma diploma ya ualimu pia nina degree ya elimu ninaijua vzr sekta hii. Hakuna diploma ngumu km diploma ya ualimu na km kuna mtu anabisha aende akasome!

Watu wanaubeza ualimu kwa kuangalia kiwango cha mshahara tunaolipwa, sisi tunajua tunachokifanya kwa ualimu ni taaluma km taaluma zingine. Mtu aliyefeli hawez kuwa mwalimu hata siku moja labda km mimi ndo cjui maana ya kufeli.

Kufeli kwa wanafunzi kunachangiwa na mambo mengi sn. Pia tukumbuke kupata dvsn one sio kujua kufundisha, sio kila mtu aweza kuwa mwalimu! Kuna watu wanalalamika humu lkn kumfundisha mwanae mmoja kashindwa ndo ujue ualimu sio lelemama.
 
Huwezi ukakutana na mtoto tu akakwambia hvyo...walimu wa siku hizi sifa nyingiii una mtia bakoraaa 20 mtoto halafu unategemea akusemee mazuriii,unajifanya we kidume mbele za walimu wa kike kutoa adhabu kali kwa wanafunzi afu unategemea akupe sifa nzuriiii na cku zote mwanafunzi kinacho mjia ndo ana kiropokaaa....na ni ukweliiii mtupuu walio pata dvsn mbovu form four ndio walimu wa prmary 90% ya walimu wa prmary walipata dvsn four ambazo hazim ruhusu kwenda advnce....hiyo dhana imejengeka vichwani mwa watoto hadi leo so ukimzingua sanaaaaa utasikia we ulifeli....angalia mwalimu mwenye busara mpole anw hekima mcheshi na mkarimu hapo shuleni kwenu anachunguza kabla hajatoa adhabu kwa wanafunzi anaongea nao vizuri check kama wanamsema kuwa alifeli uadui kati ya mwalimu na mwanafunzi dawa yake kuja kupatika ni ngumu kuliko hata ya ukimwi..

Mwalimu unakuwa unasifa kila mtu shule akuogope inakusaidia nn...ukigombna na mkeo au mmeo home unataka hasira ukamalizie kwa mwanafunzi alie kosa swalii kwa sababu tuu uelewa tumetofautianaaa....kwa vile ww enzi zako ulichezea bakora...unawaza kulipiza kisasi tuuu unategemea wanafunzi wasemaje...

Mwalimu ukisimama mbele unaona aibu hufundishi vizuriii kila kitu una copy na kupaste wanafunzi wakikupiga swali jibu mpka ufuatilie unategemea wanafunzi wakutangazie mema na bakora una wachapa kma huna mtoto au ndugu bhnaaa.....walimu wengi wana boa sana ndo mana hiyo kauli haiji kuisha....eti uelewe usielewe mm mshahara upo pale pale...kauli gani za kishamba hvyo unatak mwanafunzi akutangazie mema hata kma ulifaulu
 
Back
Top Bottom