Kuna lengelenge linanitokea juu ya ukuta wa uume, ni nini hiki?

Kuna lengelenge linanitokea juu ya ukuta wa uume, ni nini hiki?

pole sana...kama unataka 'mjegeke' Sema usiwe na wasiwasi watu wapo watakupachika tu..

all in all ushauri n Mzur sana...Mkuu unajijua lkn haujielew ![emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huna adabu

Usije hisi umetapeliwa hua zinakuwa tatu TU ,lakini wembe mmoja utatumia nusu mwaka

Usiruhusu uonekane Kwa watoto wakajikata
 
Msukuma huyu basi kujiona mjanja kuweka vuzi lake mtandaoni kisa hajulikani na tukimshauri anatukana. Mbona hatuwekei picha za tako lake tuone jinsi fistula, bawaziri na ugonjwa wa puru alionao unaomsababishia kunya bila break [emoji38][emoji1][emoji16][emoji846][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] duuuh
 
Naomba wenye uelewa wa hili suala waje, ni takriban mwaka mmoja na nusu tokea hizi lengelenge zinitoke. Nikinyoa msitu vinatabia kama vinapotea ila msitu ukiongezeka vina ongezeka ukubwa.

Leo naona kingine kidogo chaja. Afya iko safi kwa mujibu wa matabibu (japo hili sijawahi kuwauliza). Picha ipo chini mficha ugonjwa mauti humuumbua nitangulize shukrani.

Hivyo vijipele vitatu!

View attachment 2687474
How can i unsee this
 
Back
Top Bottom