Kuna m- bibi namzimia humu Jf

Ha ha kidumu chama cha mapinduzi
 
twende kazi, unamaanisha yule mbibi uliyekuwa unaongea nae siku ile ...au?
 
Last edited by a moderator:
Weeh mtoto!
Una ugomvi na kaka Matola! Manake hata Masanilo kasalimu amri
 
Last edited by a moderator:
Wasi wasi wako tu Mkuu, mbona nishasaidiaga wengu. Please trust me .. funguka
Wasiwasi ndo akili mkuu.Machela yananicheza bibi kamaindi halafu wewe ndiye shushushu kakutuma ukusanye ushahidi nikatolewe kucha vizuri.Mana m-bibi yupo kwenye system.
 
mtaje...........sa si hapo tutakusaidiaje!!!!!!!!!!
Mmmmh..nshakwambia namuogopa bhana.Na ujanja wote huo lazima umjue tu kule kwenye jukwaa la vibopa.We nisaidie tu aingie laini nikimkamata nitammiliki kiroho safi.Nitakupa commission..
 
Sasa mpaka uje uyaseme humu jamani ungenifata kimya kimya tu kwan na noma bas,mim mwenyewe nakuzimia sana hujui tu,haloo
Sistaduu wewe nitakuweza wapi mie.Nataka m-bibi wangu anipe raha
 
Haya mbibi njoo huku upewe mahabat...lol
 
Mkuu ushampata?

andaa kwanza bill of lading!

lile jukwaa lina msongamano mkubwa kama bandari ya dar.

by the way, una pesa za kumtolea kule?

tanguliza kwanza, pay in slip za miezi minne!

mi nshamjua!
 
andaa kwanza bill of lading!

lile jukwaa lina msongamano mkubwa kama bandari ya dar.

by the way, una pesa za kumtolea kule?

tanguliza kwanza, pay in slip za miezi minne!

mi nshamjua!
Duuuh..Mkuu we mkali yani ushamjua halafu tayari ushakuwa wakala.Nimekukubali.Unajua wazi yule m-bibi ana mavumba ya urithi sasa we jitahidi ufanye makalatee akiingia line unapata 10% unapotea.Komaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…