ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Wanachitchat,tafadhali jamani naombeni mnisaidie kumwambia mimi namuogopa.Nimeambiwa ni mjane,ana hasira uyo halafu hakawii kujilipua.Mwambieni nikimpata nitamtunza na kumpa mahaba mazito sana atasahau mabaya yote ya kale na hatokuwa na mistress ya ajabu ajabu tena.Ni mtu maarufu sana hapa Jf anapatikana zaidi kwenye lile jukwaa la pasua vichwa.Naombeni mniitie tafadhali moyo wangu utulie.Ahsanteni.
Mmmh..njia panda.ni bora uende hukohuko ukatatue tatizo lako maana hapa
utaambulia:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked: na kisha uka :faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2:
take care usijesema sijakwambia shauriro
mkuu mpe ujumbeNimeshamfahamu.
ukimpa ujumbe mwite aje hapa tujisosomoleNimeshamjua nitafikisha ujumbe
hebu mpm....Mkuu una kumbukumbu hataree.Nisaidie awe karibu angalau nitupiamo japo kiss
mkuu mpe ujumbe
mbona mi hujawahi kunisaidiga kalukamise
Kumbe na wewe ni mjane?
Atakua ndiye yule ambae mumewe kafa kwa upungufu wa Cd4 au ?
litakuwa lile la WAKULU!!!!!
Ahahahah..Kweli we mwamba.
Mkuu ushampata?
mbona mi hujawahi kunisaidiga kalukamise
FaizaFoxy njoo hukuWanachitchat,tafadhali jamani naombeni mnisaidie kumwambia mimi namuogopa.Nimeambiwa ni mjane,ana hasira uyo halafu hakawii kujilipua.Mwambieni nikimpata nitamtunza na kumpa mahaba mazito sana atasahau mabaya yote ya kale na hatokuwa na mistress ya ajabu ajabu tena.Ni mtu maarufu sana hapa Jf anapatikana zaidi kwenye lile jukwaa la pasua vichwa.Naombeni mniitie tafadhali moyo wangu utulie.Ahsanteni.