Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
Ilimradi tu tukuone Mwamba hapa🚮.Siwezi kufanya upumbavu kama huo hata siku moja
Hiyo ni upendo na heshima. Ni sawa na kuamka asubuhi na kumuangalia mtoto wako alivyo vizuri, ni upendo huo. Moyo wa mwanadamu umeumbwa kupenda kitu na kukisujudu. Hao wanampenda mwamba, mwenzako anakwambia bwana diamond anapita nje, aaanh na mimi acha nikamuone. Ndio hiyo.