Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 15,415
- 29,584
Ifikie mahali mahakimu na majaji nchini mune aibu kupelekeshwa kamakondoo wa kuchinjwa. Kuna mamamuzi mengine ya kimahakama ambayo hata sisi tusio wanasheria tnaona wazi mnafanya makosa - kwa kutumia common sense tu, wala sio elimu ya sheria.
Sasa ifikie wakati mahakimu na majaji mjitambue, kwamba msimame imara kwa sababu mhimili wa sheria unapaswa kujitegemea, au muwe mahakimu yeboyebo wa kupewa maagizo toka juu hata paleambapo hata mbumbumbu wa sheria anawaona wazi mnapindisha sheria.
Angalieni sana, nchi hii ikija kupinduliwa mnaweza kuwa mojawapo ya watu watakaopigwa risasi hadharani kwa kuonea watu.
Hiyo list ya kupiga watu risasi inayopangwa kichwani kwa watu wanye hasira na nchi hii inavyoendeshwa inawahusu viongozi wakuu wa chama hiki, Polisi, FFU, waendesha mashitaka, mawaziri, na wengineo wachache. Angalia na nyie msije mkajumuishwa