Pre GE2025 Kuna Mabadiliko makubwa ya kiuongozi yatatokea kabla ya uchaguzi, Nape Nnauye hatakuwepo bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya

Nnauye Moses Nape ana kiburi cha kubebwa asahau kwa sababu mgombea Urais mpya hatamhitaji Nape Moses Nnauye and the go likes

Kwa sababu amebweteka na kutegemea kubebwa atapigwa pigo takatifu kwenye sanduku la kura .

Pia soma
 
Naona haya ni matamanio yako tu wala sio utabiri, I guess none gonna happen.
 
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya

Nnauye Moses Nape ana kiburi cha kubebwa asahau kwa sababu mgombea Urais mpya hatamhitaji Nape Moses Nnauye and the go likes

Kwa sababu amebweteka na kutegemea kubebwa atapigwa pigo takatifu kwenye sanduku la kura .

Pia soma
NA WEWE HUPO KAMA NAPE TU UNACHOKIANDIKA
 
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya

Nnauye Moses Nape ana kiburi cha kubebwa asahau kwa sababu mgombea Urais mpya hatamhitaji Nape Moses Nnauye and the go likes

Kwa sababu amebweteka na kutegemea kubebwa atapigwa pigo takatifu kwenye sanduku la kura .

Pia soma
Utabiri Uchwara sasa ndio huu
 
Hayo yatatokea kama Shetani atakuwa hayupo Duniani.
 
Si mlisema Nnape ataondoka mama akimaliza ziara yake Katavi au imesogezwa mbele??
Kuna mkeka ulivuja walisema yeye na mmiliki wa Singida fc watatolewa.!!
 
Mkojani keshaonja utamu wa asali halafu kirahisi tu mumwambie akae pembeni, patachambika.

Jumba jeupe lote litatupiwa majini lile, halitokalika.
 
Napingana na Chama Changu CCM kwenye maeneo mengi!

Napingana na Rais wangu Samia kwenye maeneo machache sana!

Ila 2025 ni maoni yangu Rais Samia aendelee kushika kijiti cha CCM.

Anachohitaji Rais Samia ni timu ya watu smart kweli wanaoijua Dunia ipo wapi na inaenda wapi? Wenye uchungu wa kuiona Tanzania ikiwa Powerhouse economically kwa Afrika na ikiitikisa Dunia!

Kwa Tanzania sasa tunachohitaji cha kwanza ni Katiba bora inayosimika mifumo imara ya kuendesha na kusimamia nchi. Inayoweka mipaka kwa wanasiasa
 
Back
Top Bottom