Pre GE2025 Kuna Mabadiliko makubwa ya kiuongozi yatatokea kabla ya uchaguzi, Nape Nnauye hatakuwepo bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kula chuma icho ila all ccm lazima kuondoka madarakani ,uchaguzi ukifanyika, shida naiona ikiwa hivi pikipiki za mama itakuaje
Ameliwa.Vya mgema...
CCM kama CCM ilishajifuta mioyoni mwa Watanzania wa pande zote(Tanganyika &Zanzibar)
The damage is so big.
 
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya

Nnauye Moses Nape ana kiburi cha kubebwa asahau kwa sababu mgombea Urais mpya hatamhitaji Nape Moses Nnauye and the go likes

Kwa sababu amebweteka na kutegemea kubebwa atapigwa pigo takatifu kwenye sanduku la kura .

Pia soma
Aaaaaagh!! Wote tunajua hilo Bwashee! Kaa kimyaaa
 
2025 tuna Rais mpya na UPYA wake.

Na Battle field itakuwa ukanda wa maji matamu.
 
Napingana na Chama Changu CCM kwenye maeneo mengi!

Napingana na Rais wangu Samia kwenye maeneo machache sana!

Ila 2025 ni maoni yangu Rais Samia aendelee kushika kijiti cha CCM.

Anachohitaji Rais Samia ni timu ya watu smart kweli wanaoijua Dunia ipo wapi na inaenda wapi? Wenye uchungu wa kuiona Tanzania ikiwa Powerhouse economically kwa Afrika na ikiitikisa Dunia!

Kwa Tanzania sasa tunachohitaji cha kwanza ni Katiba bora inayosimika mifumo imara ya kuendesha na kusimamia nchi. Inayoweka mipaka kwa wanasiasa
Hapo penye katiba hapo ndo umekosea, sisi chama chetu hatuhitaji katiba maana tunajua madhara yake. Tunajua pasina na shaka kuwa tukibadili katiba kuna uwezekano wa asilimia zaidi ya 90 ya sisi kushindwa kwenye uchaguzi unaofuata baada ya mabadiliko hayo. Nani achimbe shimo litakalomtumbukiza yeye mwenyewe? Wewe ungeweza? So sisi tutaendelea kucheza danadana swala la katiba mpaka hapo atakapopatikana huyo mpumbavu atakaejiamini kuonja sumu kwa ulimi wake mwenye😛😛😛😛
 
Tatizo la Tanzania siyo Nape tatizo ni mfumo mzima wa hovyo, yaani tunaishi kwa huruma ya Rais na siyo sheria na katiba
 
Napingana na Chama Changu CCM kwenye maeneo mengi!

Napingana na Rais wangu Samia kwenye maeneo machache sana!

Ila 2025 ni maoni yangu Rais Samia aendelee kushika kijiti cha CCM.

Anachohitaji Rais Samia ni timu ya watu smart kweli wanaoijua Dunia ipo wapi na inaenda wapi? Wenye uchungu wa kuiona Tanzania ikiwa Powerhouse economically kwa Afrika na ikiitikisa Dunia!

Kwa Tanzania sasa tunachohitaji cha kwanza ni Katiba bora inayosimika mifumo imara ya kuendesha na kusimamia nchi. Inayoweka mipaka kwa wanasiasa
Tanzania tunaishi kwa maono ya Rais lazima tuwe na mifumo imara
 
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya

Nnauye Moses Nape ana kiburi cha kubebwa asahau kwa sababu mgombea Urais mpya hatamhitaji Nape Moses Nnauye and the go likes

Kwa sababu amebweteka na kutegemea kubebwa atapigwa pigo takatifu kwenye sanduku la kura .

Pia soma
Hicho ndicho kinachosemwa na wengi mno!!

Na ukitaka uhakika we ona jinsi Mama anavyotumia gharama kabla ya kampeni kuanza!!

Ishu ya nape na January ni hatari sana Kwa mama coz inasemekana yeye kipara ndio alivujisha mkataba wa Dp world (extracted from britanica readings)

Anaweza kuvujisha the unknowns za mama zikawa knowns ikawa patashika nguo kuchanika!!

Maamuzi ya kuwang'oa hai vijana watiifu Kwa Mzee was msoga no hatari sana labda awaspin kama kina Lukuvi plus kabudi la sivyo tutaanza kupata nondo za kutisha Toka Kwa hai vijana!!

Haya ni mawazo huru TU Wala sio info from unknowns!
 
Karma Is real mwaka 2025 kutakuwa na mgombea Urais kupitia CCM mpya, kutakuwa na mgombea Mwenza mpya kutakuwepo na timu mpya ya kampeni za mgombea Urais mpya

Nnauye Moses Nape ana kiburi cha kubebwa asahau kwa sababu mgombea Urais mpya hatamhitaji Nape Moses Nnauye and the go likes

Kwa sababu amebweteka na kutegemea kubebwa atapigwa pigo takatifu kwenye sanduku la kura .

Pia soma
.
 
Ila 2025 ni maoni yangu Rais Samia aendelee kushika kijiti cha CCM.

Anachohitaji Rais Samia ni timu ya watu smart kweli wanaoijua Dunia ipo wapi na inaenda wapi? Wenye uchungu wa kuiona Tanzania ikiwa Powerhouse economically kwa Afrika na ikiitikisa Dunia!

Kwa Tanzania sasa tunachohitaji cha kwanza ni Katiba bora inayosimika mifumo imara ya kuendesha na kusimamia nchi. Inayoweka mipaka kwa wanasiasa
Naunga mkono hoja kuhusu watu smart na ameanza na huyu Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ.na Bingwa wa Katiba. Je Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?. kushughulikia hilo la katiba
P
 
Back
Top Bottom