Pre GE2025 Kuna Mabadiliko makubwa ya kiuongozi yatatokea kabla ya uchaguzi, Nape Nnauye hatakuwepo bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kula chuma icho ila all ccm lazima kuondoka madarakani ,uchaguzi ukifanyika, shida naiona ikiwa hivi pikipiki za mama itakuaje
Ameliwa.Vya mgema...
CCM kama CCM ilishajifuta mioyoni mwa Watanzania wa pande zote(Tanganyika &Zanzibar)
The damage is so big.
 
Aaaaaagh!! Wote tunajua hilo Bwashee! Kaa kimyaaa
 
2025 tuna Rais mpya na UPYA wake.

Na Battle field itakuwa ukanda wa maji matamu.
 
Hapo penye katiba hapo ndo umekosea, sisi chama chetu hatuhitaji katiba maana tunajua madhara yake. Tunajua pasina na shaka kuwa tukibadili katiba kuna uwezekano wa asilimia zaidi ya 90 ya sisi kushindwa kwenye uchaguzi unaofuata baada ya mabadiliko hayo. Nani achimbe shimo litakalomtumbukiza yeye mwenyewe? Wewe ungeweza? So sisi tutaendelea kucheza danadana swala la katiba mpaka hapo atakapopatikana huyo mpumbavu atakaejiamini kuonja sumu kwa ulimi wake mwenye๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
Tatizo la Tanzania siyo Nape tatizo ni mfumo mzima wa hovyo, yaani tunaishi kwa huruma ya Rais na siyo sheria na katiba
 
Tanzania tunaishi kwa maono ya Rais lazima tuwe na mifumo imara
 
Hicho ndicho kinachosemwa na wengi mno!!

Na ukitaka uhakika we ona jinsi Mama anavyotumia gharama kabla ya kampeni kuanza!!

Ishu ya nape na January ni hatari sana Kwa mama coz inasemekana yeye kipara ndio alivujisha mkataba wa Dp world (extracted from britanica readings)

Anaweza kuvujisha the unknowns za mama zikawa knowns ikawa patashika nguo kuchanika!!

Maamuzi ya kuwang'oa hai vijana watiifu Kwa Mzee was msoga no hatari sana labda awaspin kama kina Lukuvi plus kabudi la sivyo tutaanza kupata nondo za kutisha Toka Kwa hai vijana!!

Haya ni mawazo huru TU Wala sio info from unknowns!
 
.
 
Naunga mkono hoja kuhusu watu smart na ameanza na huyu Asante Rais Samia Kutuletea Prof. Kabudi Pale Sheria, Ni Best Brain, High IQ.na Bingwa wa Katiba. Je Atakuwa Mkweli Ubatili wa Katiba na Sheria au?. kushughulikia hilo la katiba
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ