Kuna mabadiliko yoyote kutokana na combination za kidato cha tano na cha sita?

Kuna mabadiliko yoyote kutokana na combination za kidato cha tano na cha sita?

Edily

New Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Jamani naomba kuwauliza.

Nasikia ya kwamba kuna combination za kidato cha tano na kidato cha sita zinazo ambatana na Georaphy kwa mfano, Biology, Chemistry na Geography (BCG), hazitakiwi katika baraza la mitihani.

Nawaombeni majibu yenu tafadhali mimi ni miongoni mwa wanafunzi watakao dhurika. Nawaombeni msaada wenu kwa tetesi zilizo kuwepo
 
Hakuna kitu kama hicho,sasa hivi kwanza wapo kwenye mkakati wa kuongeza tahasusi mpya na sio kupunguza.Ondoa hofu.
 
Back
Top Bottom