Kuna mabaki ya Roketi ya Anga za juu inaweza kuanguka Tanzania na Kenya

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Kenya space _20250419_210803_0000.png

Nchini Kenya shirika la anga la Kenya (Ksa) lilitoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kuanguka mabaki ya chombo cha Angani chenye jina la NORAD ID 61909 / 2024 -2025 R ni kipande kikubwa cha Roketi chenye uzito usiojulikana.

Taarifa iloyotolewa ijumaa shirika hilo lilieleza kuwa vipande hivyo vya Roketi kutoka kundi la Roketi za molekuli isiyojulikana vinatarajiwa kuruka katika eneo la Kaskazini Mashariki hadi Kusini Mashariki mwa Kenya kuelekea Tanzania na zaidi kusini.

2_20250419_210739_0001.png

Vipande hivyo vinatarajiwa kushuka siku hii ya jumamosi Tarehe 19 au 20 kuanzia Jumamosi, Aprili 19, saa 7:29 asubuhi hadi Jumapili, Aprili 20, saa 3:01 jioni.

KSA ilionya kuwa kifaa hicho kinaweza kuhatarisha maisha na mali katika njia yake kutokana na ukubwa wake mkubwa na hivyo kuwaonya Wakenya na Watanzania kuwa waangalifu katika kipindi hicho.
 
Ingekuwa ni USA vingilipuliwa kabla ya kufika..ila huku kaa Chongo unaweza pigwa na kitu kama Tani moja kichwani..
Kisha tunatoa salama za pole

Nimechek source zangu
Naona Kuna kitu kweli kinakuja around tar 20 April kuanzia saa 1 asubuhi itakuwa ni time ya kuchukua umakini ila Tatizo speed ni kubwa mno
 
Kama hakijulikani kinaanguka wapi huo umakini tunawekaje ili kukikwepa!?
Watoe taarifa ili kama kinaanguka let say maeneo ya crdb tuwahi tukaokoe watu na 'mali'
Naunga mkono hoja Kama NI crdb bank au nmb bank basi hata zimamoto waende likizo ya pasaka . Tumeweza wenyewe kariakoo tushindwe crdb bank
 
Kweli Afrika tunaishi ilimradi kumekucha tu, sasa hiyo tahadhari tunachukua kwa namna ipi?
 
Ingekuwa ni USA vingilipuliwa kabla ya kufika..ila huku kaa Chongo unaweza pigwa na kitu kama Tani moja kichwani..
Kisha tunatoa salama za pole

Nimechek source zangu
Naona Kuna kitu kweli kinakuja around tar 20 April kuanzia saa 1 asubuhi itakuwa ni time ya kuchukua umakini ila Tatizo speed ni kubwa mno
umakini gani apo masta utafanya kujikinga na mzigo wa tani kadhaa unaotembea kwa kasi kutosha au ndo utavaa kondomu au helmet au barakoa ? au ndio utalala kwenye chandarua kilichowekwa dawa?
 
View attachment 3309791

Nchini Kenya shirika la anga la Kenya (Ksa) lilitoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kuanguka mabaki ya chombo cha Angani chenye jina la NORAD ID 61909 / 2024 -2025 R ni kipande kikubwa cha Roketi chenye uzito usiojulikana.

Taarifa iloyotolewa ijumaa shirika hilo lilieleza kuwa vipande hivyo vya Roketi kutoka kundi la Roketi za molekuli isiyojulikana vinatarajiwa kuruka katika eneo la Kaskazini Mashariki hadi Kusini Mashariki mwa Kenya kuelekea Tanzania na zaidi kusini.

View attachment 3309792

Vipande hivyo vinatarajiwa kushuka siku hii ya jumamosi Tarehe 19 au 20 kuanzia Jumamosi, Aprili 19, saa 7:29 asubuhi hadi Jumapili, Aprili 20, saa 3:01 jioni.

KSA ilionya kuwa kifaa hicho kinaweza kuhatarisha maisha na mali katika njia yake kutokana na ukubwa wake mkubwa na hivyo kuwaonya Wakenya na Watanzania kuwa waangalifu katika kipindi hicho.
Yaangukie makao makuu ya CCM
 
Yaani hayo mabaki ni bora yajigawe na nitaomba yakaangukie ikulu zote mbili na makaomakuu ya policcm na tume ya uchufuzi na ikiwezekana ndani ya majengo wawemo viongozi wote wafe. Amiin amiin amiin.
 
Hii nchi ngumu sana,,,,Ona majibu ya watanzania waliojikatia tamaa
 
Mkuu tupe ulelekeo yafoka wapi ili tuwe chonjo
 
Back
Top Bottom