Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,386
- 2,833
Naunga mkono hoja Kama NI crdb bank au nmb bank basi hata zimamoto waende likizo ya pasaka . Tumeweza wenyewe kariakoo tushindwe crdb bankKama hakijulikani kinaanguka wapi huo umakini tunawekaje ili kukikwepa!?
Watoe taarifa ili kama kinaanguka let say maeneo ya crdb tuwahi tukaokoe watu na 'mali'
umakini gani apo masta utafanya kujikinga na mzigo wa tani kadhaa unaotembea kwa kasi kutosha au ndo utavaa kondomu au helmet au barakoa ? au ndio utalala kwenye chandarua kilichowekwa dawa?Ingekuwa ni USA vingilipuliwa kabla ya kufika..ila huku kaa Chongo unaweza pigwa na kitu kama Tani moja kichwani..
Kisha tunatoa salama za pole
Nimechek source zangu
Naona Kuna kitu kweli kinakuja around tar 20 April kuanzia saa 1 asubuhi itakuwa ni time ya kuchukua umakini ila Tatizo speed ni kubwa mno
Yaangukie makao makuu ya CCMView attachment 3309791
Nchini Kenya shirika la anga la Kenya (Ksa) lilitoa tahadhari kuhusu uwezekano wa kuanguka mabaki ya chombo cha Angani chenye jina la NORAD ID 61909 / 2024 -2025 R ni kipande kikubwa cha Roketi chenye uzito usiojulikana.
Taarifa iloyotolewa ijumaa shirika hilo lilieleza kuwa vipande hivyo vya Roketi kutoka kundi la Roketi za molekuli isiyojulikana vinatarajiwa kuruka katika eneo la Kaskazini Mashariki hadi Kusini Mashariki mwa Kenya kuelekea Tanzania na zaidi kusini.
View attachment 3309792
Vipande hivyo vinatarajiwa kushuka siku hii ya jumamosi Tarehe 19 au 20 kuanzia Jumamosi, Aprili 19, saa 7:29 asubuhi hadi Jumapili, Aprili 20, saa 3:01 jioni.
KSA ilionya kuwa kifaa hicho kinaweza kuhatarisha maisha na mali katika njia yake kutokana na ukubwa wake mkubwa na hivyo kuwaonya Wakenya na Watanzania kuwa waangalifu katika kipindi hicho.