Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kitima anacho sema nilisema kabla ya kitima kuwa kuna watu walizikwa wakiwa wazima ila waliitaji kutibiwa majerehaa ya risasi,wengine walipelekwa mochwari,wengine waliitaji ICU, wengine walimaliziwa kabisa kuficha ushaidi.
Na hii order ilikuwa na vikosi maalumu ambavyo mpaka wengine idara ziliogopa kushirikiana nao maana wana hofu na mungu.
Na rudia tena mfungeni kamba au mleteni sheikh kutoa majini.
Mimi nikisema ulimi wangu ni wa nyoka