Kuna mada zinachekesha sana kuonesha kuna kundi wanatumia kubishia vilivyo tengenezewa

Kuna mada zinachekesha sana kuonesha kuna kundi wanatumia kubishia vilivyo tengenezewa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Haya makundi ni wanasiasa na viongozi wa dini ndio wanaongoza kwa upinzani wa teknolojia yani ndio wapingaji wa teknolojia.

Kuna siku nilikuwa naangalia watu wa dini yani mtu anakwambia vitu ni vya sheatani vilivyomo duniani ila cha kushangaza anayepinga kavaa nguo ambayo ni teknolojia, katumia spika ni teknolojia.

Sasa kuna mtu mmoja anakuja kusema hapa USA ni waongo. Tumuulize uliwezaje kupata JF na internet ukathibitisha teknolojia kuwa ni uwongo alafu anatumia vitu vyenye utafiti.

𝗩𝘆𝗼𝗺𝗯𝗼 𝘃𝘆𝗮 𝗵𝗮𝗯𝗮𝗿𝗶 𝘃𝘆𝗮 𝗨𝗿𝘂𝘀𝗶 𝘃𝗶𝗻𝗮𝘀𝗲𝗺𝗮 𝗠𝗮𝗿𝗲𝗸𝗮𝗻𝗶 𝗵𝗮𝗸𝘂𝘄𝗮𝗵𝗶 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗮 𝗠𝘄𝗲𝘇𝗶𝗻𝗶
 
MKUU KUISHI NA KOBAZI INAHITAJI UWE AKILI YA ZIADA
 
MKUU KUISHI NA KOBAZI INAHITAJI UWE AKILI YA ZIADA
Hawa watu mpaka bomu wanasema limetoka kwa mungu kitabu takatifu sasa sijui lilikuja kwa njia shirika la posta
 
Back
Top Bottom