Haya makundi ni wanasiasa na viongozi wa dini ndio wanaongoza kwa upinzani wa teknolojia yani ndio wapingaji wa teknolojia.
Kuna siku nilikuwa naangalia watu wa dini yani mtu anakwambia vitu ni vya sheatani vilivyomo duniani ila cha kushangaza anayepinga kavaa nguo ambayo ni teknolojia, katumia spika ni teknolojia.
Sasa kuna mtu mmoja anakuja kusema hapa USA ni waongo. Tumuulize uliwezaje kupata JF na internet ukathibitisha teknolojia kuwa ni uwongo alafu anatumia vitu vyenye utafiti.
๐ฉ๐๐ผ๐บ๐ฏ๐ผ ๐๐๐ฎ ๐ต๐ฎ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐๐๐ฎ ๐จ๐ฟ๐๐๐ถ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐ฒ๐บ๐ฎ ๐ ๐ฎ๐ฟ๐ฒ๐ธ๐ฎ๐ป๐ถ ๐ต๐ฎ๐ธ๐๐๐ฎ๐ต๐ถ ๐ธ๐๐๐๐ฎ ๐ ๐๐ฒ๐๐ถ๐ป๐ถ