Kuna Mademu Huwa Wana Maswali Ya Ajabu

Kuna Mademu Huwa Wana Maswali Ya Ajabu

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Utamsikia
Demu>''Kwa hiyo we STUNTER Unanitaka Mimi'

STUNTER>Ndio nakupenda kweli baby

Demu>'Hivi uliniambia umeachana na mpenzi wako
lini vile'

STUNTER>Mwezi wa 2 katikati

Demu>Itakuwa wewe ndo Mkorofi umemchezea
mtoto wa watu ukamuacha, unaonekana tu una sura
ya ukorofi

STUNTER>Hapana, Yeye ndo aliniacha kisa sina hela

Demu>'Kwahiyo Tangu mwezi wa Pili mpaka leo Upo tu Unaishije, Nipe sababu 8 kwa nini uko SINGLE'

STUNTER>Eboo! Niko SINGLE kwa Sababu Sijatoa
ALBUM!
 
Itabidi tukubaliane na maswali yao,kumbuka mkuu[emoji117] ukitaka cha uvunguni sharti uiname[emoji38]
 
Kama wife material bombaa unajibu,kamaa demu mbovu akafie mbaliiii![emoji57][emoji57]
 
Utamsikia
Demu>''Kwa hiyo we STUNTER Unanitaka Mimi'

STUNTER>Ndio nakupenda kweli baby

Demu>'Hivi uliniambia umeachana na mpenzi wako
lini vile'

STUNTER>Mwezi wa 2 katikati

Demu>Itakuwa wewe ndo Mkorofi umemchezea
mtoto wa watu ukamuacha, unaonekana tu una sura
ya ukorofi

STUNTER>Hapana, Yeye ndo aliniacha kisa sina hela

Demu>'Kwahiyo Tangu mwezi wa Pili mpaka leo Upo tu Unaishije, Nipe sababu 8 kwa nini uko SINGLE'

STUNTER>Eboo! Niko SINGLE kwa Sababu Sijatoa
ALBUM!
Usiogope,ukishawazoea hao mademu utaona hayo maswal ni ya kawaida san
 
Nadhani ni katika kutafuta mbinu za kujua jinsi ya kujiweka kwako ili akikuona sio mtu wa kuelekea akuteme mapema asije kuingia pasipoingilika.
 
Kama wife material bombaa unajibu,kamaa demu mbovu akafie mbaliiii![emoji57][emoji57]
Wife material skuzote huamini kwa vitendo, sio maneno na maswali ya ajabu
 
Back
Top Bottom