Usiogope,ukishawazoea hao mademu utaona hayo maswal ni ya kawaida sanUtamsikia
Demu>''Kwa hiyo we STUNTER Unanitaka Mimi'
STUNTER>Ndio nakupenda kweli baby
Demu>'Hivi uliniambia umeachana na mpenzi wako
lini vile'
STUNTER>Mwezi wa 2 katikati
Demu>Itakuwa wewe ndo Mkorofi umemchezea
mtoto wa watu ukamuacha, unaonekana tu una sura
ya ukorofi
STUNTER>Hapana, Yeye ndo aliniacha kisa sina hela
Demu>'Kwahiyo Tangu mwezi wa Pili mpaka leo Upo tu Unaishije, Nipe sababu 8 kwa nini uko SINGLE'
STUNTER>Eboo! Niko SINGLE kwa Sababu Sijatoa
ALBUM!