kuna mademu wengine kuiwaita mpenzi na baby honey unawapata kirahisi

jane_000

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2012
Posts
547
Reaction score
43
wana jf kuna mademu mengine easy going unataki kusema tu maneno mazuri unawachukua bila hela na wanweza kukupa wewe wakiwanazo
 
mwanamke mwenye staha hawezi kuwaita wenzie mademu....una walakini wewe jane,angalia kuanzisha thread kusikufanye ukazuzuka kwa sifa ukaanza kutumia lugha mbovu,soon utadharaulika na topic zako zitakosa wachangiaji............!
 
big up neema
 
Thread zake zina bore sana. Kuanzia LEO nikiona thread imeletwa na Jane_000, wala sisumbuki nayo!
 
Ok babe tumeisha kusoma, yani wewe tukikutaka tuseme tu hello babe tutakuchukua bure bure sio.
 
hao kweli madem, kuitwa honey 2 wanavua vyupi... ushauri wako utawafaa wanaouhitaji coz humu wengi kutongoza tunajua!
 
wana jf kuna mademu mengine easy going unataki kusema tu maneno mazuri unawachukua bila hela na wanweza kukupa wewe wakiwanazo

maneno yepi tena mamiiii..

nipe flow ya kuanzia basiii..
 
mwanamke mwenye staha hawezi kuwaita wenzie mademu....una walakini wewe jane,angalia kuanzisha thread kusikufanye ukazuzuka kwa sifa ukaanza kutumia lugha mbovu,soon utadharaulika na topic zako zitakosa wachangiaji............!

Chungulia dictionary yako utizame neno DAME (demu)kama unadhani lina maana mbaya.
 
Back
Top Bottom