Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Kuna mashine kama zile za saluni ila zenyewe size ya kati ziko so handy, hazifiki hata 20,000.. unakanunua hako mara moja shughuli imeisha na hata ukinyolea hupati kipele hata kimoja..kwa nini usimnunulie hiyo unahangaika na chemicals ambazo hata consequences zake baadae huzijui? ukimnunulia hayo madawa papuchi ikiharibika wewe ndo utakuwa wa kwanza kumtelekeza uende kutafuta nyingine kwa mcheps.. wewe dawa inaozesha nywele unaikwangua tu do you know what happens to the roots ya hizo nywele?
 
Mimi nilishampa ONYO mke wangu kamwe asinyoe hizo nywele kwani ndio raha yangu...huwa nazipunguza tu kidogo ili zisimsumbue wakati wa kuvaa nguo ya ndani (wakati mwingine zikiwa ndefu sana zinasababisha abanwe na chupi)

Na hadi kwao wanajua kuwa akinyoa tu ni TALAKA inamhusu.

Hata hapa JF nilishaelezea kuwa nilitaka kumtaliki kwasababu hiyo.

Mwanamke mtu mzima ananyoa huko anakuwa kama mtoto mdogo, Stupid!

Mimi wakwangu mara ya mwisho kumnyoa ni mwaka 2014 karibia kabisa na Christmas...sasa ni ndefu hadi zinavutia ila ni SAFI na yeye pia ni msafi.

Raha ya eneo hilo upatafute kwa tochi.

Msimamo wangu ni ule ule.
Hatari sana, yanavyokera ivo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sija maanisha hivyo dada

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi unaposema nikutumie papuchi yangu hapa au pm ukisema hujamaanisha hivyo ulimaanisha nini mjue ngoja niseme sio kila mwanamke mitandaoni ni Malaya sio kila mwanamke Wa kumzarau kiukweli umenikwaza sawa umenichukuliaje labda eti Haiwezekani unchukulie poa kiasi hicho mwili wangu unathamani kubwa sana kwangu sio lazima watu kama nyinyi mjue thamani ya mwili wangu ila Mimi Na Mungu wangu tunatosha sana kuijua thamani ya mwili wangu kaka umenikwaza sana aiseeeeee umepata ujasili gani kuniambia hivyo

Dada wakati mwingine mambo ya mtandao ni utani tuu inabid yabaki humu humu tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unaposema nikutumie papuchi yangu hapa au pm ukisema hujamaanisha hivyo ulimaanisha nini mjue ngoja niseme sio kila mwanamke mitandaoni ni Malaya sio kila mwanamke Wa kumzarau kiukweli umenikwaza sawa umenichukuliaje labda eti Haiwezekani unchukulie poa kiasi hicho mwili wangu unathamani kubwa sana kwangu sio lazima watu kama nyinyi mjue thamani ya mwili wangu ila Mimi Na Mungu wangu tunatosha sana kuijua thamani ya mwili wangu kaka umenikwaza sana aiseeeeee umepata ujasili gani kuniambia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unaona papuchi nikitu cha ajabu sana kujishusha kwangu unataka kunipanda na aliye sema we malaya nani acha stress dada

Msamehe bure jmn, nahisi alikuwa anakutania [HASHTAG]#Doris[/HASHTAG]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani unaona papuchi nikitu cha ajabu sana kujishusha kwangu unataka kunipanda na aliye sema we malaya nani acha stress dada

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kaka sawa papuchi sio kitu cha ajabu kwako sawa kwangu nikitu kikubwa nachaajabu sawa sio nataka kukupanda Bali kuwa mstaarabu sawa sitaki sasa hivi humu sijaja ilinilimbane nawatu wala sijaja ilinitume papuchi sawa nenda kwawanaocheza porno utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishampa ONYO mke wangu kamwe asinyoe hizo nywele kwani ndio raha yangu...huwa nazipunguza tu kidogo ili zisimsumbue wakati wa kuvaa nguo ya ndani (wakati mwingine zikiwa ndefu sana zinasababisha abanwe na chupi)

Na hadi kwao wanajua kuwa akinyoa tu ni TALAKA inamhusu.

Hata hapa JF nilishaelezea kuwa nilitaka kumtaliki kwasababu hiyo.

Mwanamke mtu mzima ananyoa huko anakuwa kama mtoto mdogo, Stupid!

Mimi wakwangu mara ya mwisho kumnyoa ni mwaka 2014 karibia kabisa na Christmas...sasa ni ndefu hadi zinavutia ila ni SAFI na yeye pia ni msafi.

Raha ya eneo hilo upatafute kwa tochi.

Msimamo wangu ni ule ule.
Ni vizuri kuwa na msimamo na kusimamia hayo unayoyaamini, ila brother, hadithi tamu kama hii inapendeza ukitupia na kapicha kidogo.
 
Back
Top Bottom