Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Niasaidie Kama unaijua moja[emoji26]
veeto yoyote tu ya sensitive skin haitakusumbua coz hata mimi ngozi yangu haikubaliani na vitu kirahisi, hakikisha imeandikwa kwenye box kuwa ni ya sensitive skin plus expiring date
 
Mimi nilishampa ONYO mke wangu kamwe asinyoe hizo nywele kwani ndio raha yangu...huwa nazipunguza tu kidogo ili zisimsumbue wakati wa kuvaa nguo ya ndani (wakati mwingine zikiwa ndefu sana zinasababisha abanwe na chupi)

Na hadi kwao wanajua kuwa akinyoa tu ni TALAKA inamhusu.

Hata hapa JF nilishaelezea kuwa nilitaka kumtaliki kwasababu hiyo.

Mwanamke mtu mzima ananyoa huko anakuwa kama mtoto mdogo, Stupid!

Mimi wakwangu mara ya mwisho kumnyoa ni mwaka 2014 karibia kabisa na Christmas...sasa ni ndefu hadi zinavutia ila ni SAFI na yeye pia ni msafi.

Raha ya eneo hilo upatafute kwa tochi.

Msimamo wangu ni ule ule.
Ndoa hizi!!!
 
Je Magic upo uwezekano wa kutoa mvi sehemu hizo?
 
Hivi unaposema nikutumie papuchi yangu hapa au pm ukisema hujamaanisha hivyo ulimaanisha nini mjue ngoja niseme sio kila mwanamke mitandaoni ni Malaya sio kila mwanamke Wa kumzarau kiukweli umenikwaza sawa umenichukuliaje labda eti Haiwezekani unchukulie poa kiasi hicho mwili wangu unathamani kubwa sana kwangu sio lazima watu kama nyinyi mjue thamani ya mwili wangu ila Mimi Na Mungu wangu tunatosha sana kuijua thamani ya mwili wangu kaka umenikwaza sana aiseeeeee umepata ujasili gani kuniambia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiichukulia Jamii Forum serious utapata stress mkuu
 
Mimi nilishampa ONYO mke wangu kamwe asinyoe hizo nywele kwani ndio raha yangu...huwa nazipunguza tu kidogo ili zisimsumbue wakati wa kuvaa nguo ya ndani (wakati mwingine zikiwa ndefu sana zinasababisha abanwe na chupi)

Na hadi kwao wanajua kuwa akinyoa tu ni TALAKA inamhusu.

Hata hapa JF nilishaelezea kuwa nilitaka kumtaliki kwasababu hiyo.

Mwanamke mtu mzima ananyoa huko anakuwa kama mtoto mdogo, Stupid!

Mimi wakwangu mara ya mwisho kumnyoa ni mwaka 2014 karibia kabisa na Christmas...sasa ni ndefu hadi zinavutia ila ni SAFI na yeye pia ni msafi.

Raha ya eneo hilo upatafute kwa tochi.

Msimamo wangu ni ule ule.
kupata like yangu ni sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom