Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Akinyoa atumie tuu topaz ila asijikwangue saana kuepuka vipele akimaliza apake baby powder au mafuta ya nazi kidoogo atakuwa mtam na kujifeel more comfortable...hayo ma wax cjui manini yatamfanya awe na ngozi ya nungunungu bure kwasababu kule kuko very delicated hakutaki mushkeli.
 
Mimi nilishampa ONYO mke wangu kamwe asinyoe hizo nywele kwani ndio raha yangu...huwa nazipunguza tu kidogo ili zisimsumbue wakati wa kuvaa nguo ya ndani (wakati mwingine zikiwa ndefu sana zinasababisha abanwe na chupi)

Na hadi kwao wanajua kuwa akinyoa tu ni TALAKA inamhusu.

Hata hapa JF nilishaelezea kuwa nilitaka kumtaliki kwasababu hiyo.

Mwanamke mtu mzima ananyoa huko anakuwa kama mtoto mdogo, Stupid!

Mimi wakwangu mara ya mwisho kumnyoa ni mwaka 2014 karibia kabisa na Christmas...sasa ni ndefu hadi zinavutia ila ni SAFI na yeye pia ni msafi.

Raha ya eneo hilo upatafute kwa tochi.

Msimamo wangu ni ule ule.
Mkuu mkeo hafugi chawa kweli???

From Sir Korojani
 
Tatizo unawaza ngono mkuu. nazungumzia mashavu ya usoni..teh
Acha tu niwaze mkuu...yaani utaje mashavu ya huko chini then nisiwaze?

Mi nikiona K...imejaa nywele za kutosha hadi mashavuni lazima niziote.
 
Tumieni mashine kunyoa, haileti vipele wala kuifanya ngozi kuwa ngumu. Kutumia hizo chemical ni msala, iko siku papuchi itanza kutoa harufu za ajabu ajabu.
Mkuu ni mwaka wa kumi huu ninaitumia hakuna harufu wala bibi yake. Ninafanya angalau mara moja kwa mwezi
 
Back
Top Bottom