Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Kuna madhara gani mwanamke akinyoa nywele za ukeni kwa kutumia 'Magic'?

Mimi nilishampa ONYO mke wangu kamwe asinyoe hizo nywele kwani ndio raha yangu...huwa nazipunguza tu kidogo ili zisimsumbue wakati wa kuvaa nguo ya ndani (wakati mwingine zikiwa ndefu sana zinasababisha abanwe na chupi)

Na hadi kwao wanajua kuwa akinyoa tu ni TALAKA inamhusu.

Hata hapa JF nilishaelezea kuwa nilitaka kumtaliki kwasababu hiyo.

Mwanamke mtu mzima ananyoa huko anakuwa kama mtoto mdogo, Stupid!

Mimi wakwangu mara ya mwisho kumnyoa ni mwaka 2014 karibia kabisa na Christmas...sasa ni ndefu hadi zinavutia ila ni SAFI na yeye pia ni msafi.

Raha ya eneo hilo upatafute kwa tochi.

Msimamo wangu ni ule ule.
Kuna watu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kaka sawa papuchi sio kitu cha ajabu kwako sawa kwangu nikitu kikubwa nachaajabu sawa sio nataka kukupanda Bali kuwa mstaarabu sawa sitaki sasa hivi humu sijaja ilinilimbane nawatu wala sijaja ilinitume papuchi sawa nenda kwawanaocheza porno utapata

Sent using Jamii Forums mobile app
......"kaka sawa"......."kwako sawa"......"mstaarabu sawa".... Wewe ni Mhehe usiyependa mzaha wala utani. Umetengeneza redandance za kumwaga kwakuwa umeandika umeghadhabika na saazingine unalia.
Mambo ya kupiga gumzo na dunia yakupasa uvumilivu usiohojika.
Vinginevyo humu mama yangu kuna mafyatu zaidi ya wendawazimu, maadalili kwao ni msamiati ama kitendawili kilichokosa majibu. Pole sana.
 
Hivi unaposema nikutumie papuchi yangu hapa au pm ukisema hujamaanisha hivyo ulimaanisha nini mjue ngoja niseme sio kila mwanamke mitandaoni ni Malaya sio kila mwanamke Wa kumzarau kiukweli umenikwaza sawa umenichukuliaje labda eti Haiwezekani unchukulie poa kiasi hicho mwili wangu unathamani kubwa sana kwangu sio lazima watu kama nyinyi mjue thamani ya mwili wangu ila Mimi Na Mungu wangu tunatosha sana kuijua thamani ya mwili wangu kaka umenikwaza sana aiseeeeee umepata ujasili gani kuniambia hivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah! bora umemwambia hivyo maana baadhi ya wanaume wenzangu humu wakimuona mdada yuko kwenye JF wana-conclude kua ni mhuni kama baadhi ya wanawake walivyo.Pole sana dada,yaani ungekua unayomuuliza ni mubashara,hakika angekua katika wakati mgumu kukujibu.LAKINI ULIYOYAANDIKA UMAANISHE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dorris katoa povu si la nchi hii, kwa namna unavyoipenda papuchi yako hata Mimi ninatamani kuiona ila usinitumie kwa sasa hivi, mpaka ukiwa willing

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilishampa ONYO mke wangu kamwe asinyoe hizo nywele kwani ndio raha yangu...huwa nazipunguza tu kidogo ili zisimsumbue wakati wa kuvaa nguo ya ndani (wakati mwingine zikiwa ndefu sana zinasababisha abanwe na chupi)

Na hadi kwao wanajua kuwa akinyoa tu ni TALAKA inamhusu.

Hata hapa JF nilishaelezea kuwa nilitaka kumtaliki kwasababu hiyo.

Mwanamke mtu mzima ananyoa huko anakuwa kama mtoto mdogo, Stupid!

Mimi wakwangu mara ya mwisho kumnyoa ni mwaka 2014 karibia kabisa na Christmas...sasa ni ndefu hadi zinavutia ila ni SAFI na yeye pia ni msafi.

Raha ya eneo hilo upatafute kwa tochi.

Msimamo wangu ni ule ule.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom