Uko sahihi kabisaBila hiyo lamination sioni cheti kikidumu walau miaka 3
Na hizi movement za kuhama hama hapa mjini 🙌
Sijawahi kujua ni kosa kuweka lamination kwenye vyeti, maana ndiyo njia rahisi ya utunzaji wa nyaraka kibongo bongo
Nilitia kwenye begi kusafiri nacho mahali nikaweka ndani ya Daftari ikisaidia kidogo lakini Kuna sehemu pembeni mikunjo imeanza tayariBila hiyo lamination sioni cheti kikidumu walau miaka 3
Na hizi movement za kuhama hama hapa mjini 🙌
Sijawahi kujua ni kosa kuweka lamination kwenye vyeti, maana ndiyo njia rahisi ya utunzaji wa nyaraka kibongo bongo
Vyeti vyangu vyote nimeweka lamination, hadi vyeti vya ubatizo vya vijana wangu 🤪Uko sahihi kabisa
Kitie lamination then toa kopi moja ambayo utakuwa ukiitumia kama original baada ya kuwa certified na MwanasheriaNilitia kwenye begi kusafiri nacho mahali nikaweka ndani ya Daftari ikisaidia kidogo lakini Kuna sehemu pembeni mikunjo imeanza tayari
Hakuna hasara. Halafu huyo dada achana naye, cheti ni cha kwako namna unavyohifadhi yeye haimhusu.Moja kwa moja..
Siku za nyuma nilienda Veta kuchukua cheti changu , niliistaajabu baada ya kupewa yule Dada aliyenipa aliniambia nisiweke lamination bila kuniambia sababu.
Naomba kujua wajuzi je , ipi inawezekana kuwa sababu ya kuniambia hivyo na je , Kuna madhara yeyote niliweka ? maana vyeti vyangu vingi vya O_level , Advance , kuzaliwa , best student nk vyote nimewekea lamination.
Na bila lamination sidhani kama nitatoboa kwenye utunzaji , na hata nikitoboa itakuwa kwa mbinde sana labda
#UziTayari
Hakunaa shida hio ni mali yakoVyeti vyangu vyote nimeweka lamination, hadi vyeti vya ubatizo vya vijana wangu 🤪
Hakika MkuuHakunaa shida hio ni mali yako
hii inafanyaje kazi? more info plzKitie lamination then toa kopi moja ambayo utakuwa ukiitumia kama original baada ya kuwa certified na Mwanasheria
Ni risk kutembea na document original kama hiyo
Unatakiwa kutoa Kopi ya hicho cheti/Vyetihii inafanyaje kazi? more info plz