adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 May 31, 2026 Thread starter #41 Akhi said: Waanta kadhalika Click to expand... Aamiyn
MoroGent Senior Member Joined Jan 10, 2018 Posts 149 Reaction score 473 May 31, 2026 #42 Kiufupi uyo dada amekupenda, anataka muwe mnawasiliana, hatak kukupoteza, jiongeze mkuu. Hakuna asiyelaminate chet
Kiufupi uyo dada amekupenda, anataka muwe mnawasiliana, hatak kukupoteza, jiongeze mkuu. Hakuna asiyelaminate chet
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,297 Reaction score 14,588 May 31, 2026 #43 Lengo lako ni Kutuambia Kuwa wewe ni best student 😁
El marabiosh JF-Expert Member Joined Aug 31, 2019 Posts 3,082 Reaction score 6,530 May 31, 2026 #44 laminate tu mbona mie cheti changu cha uprofesa kutoka pale cambrige university nimelaminate.hakuna tatizo...
laminate tu mbona mie cheti changu cha uprofesa kutoka pale cambrige university nimelaminate.hakuna tatizo...
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 May 31, 2026 Thread starter #45 NALIA NGWENA said: Lengo lako ni Kutuambia Kuwa wewe ni best student 😁 Click to expand... Inanisadia nini hiyo ? halafu wakati naandika huu Uzi sikuwaza kuweka hivyo idea imekuja katikati nikaamua niweke na Mimi nitambe. Karibu tena Jf ulipotea sana mkuu
NALIA NGWENA said: Lengo lako ni Kutuambia Kuwa wewe ni best student 😁 Click to expand... Inanisadia nini hiyo ? halafu wakati naandika huu Uzi sikuwaza kuweka hivyo idea imekuja katikati nikaamua niweke na Mimi nitambe. Karibu tena Jf ulipotea sana mkuu
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 17,595 Reaction score 39,893 May 31, 2026 Thread starter #46 El marabiosh said: laminate tu mbona mie cheti changu cha uprofesa kutoka pale cambrige university nimelaminate.hakuna tatizo... Click to expand... Cambridge ya Majimatitu ?
El marabiosh said: laminate tu mbona mie cheti changu cha uprofesa kutoka pale cambrige university nimelaminate.hakuna tatizo... Click to expand... Cambridge ya Majimatitu ?