frankkilulya
JF-Expert Member
- Apr 6, 2022
- 793
- 2,053
mkuu vyeti vinavyotakiwa kupigwa muhuri na mwanasheria ni vya academic tuu ama na cha kuzaliwa?Unatakiwa kutoa Kopi ya hicho cheti/Vyeti
Kisha mpelekee Mwanasheria kwaajili ya kukiidhinisha kwamba ni Nakala kwa nyaraka halisi
Kisha utakuwa unatumia hiyo copy iliyokuwa certified na Mwanasheria badala ya nyaraka halisi
Asante sana , passport ngumu utunzaji wake rahisi hata yangu nimeitunza tokea nipate haina shida , passport ya brother iliwahi kutumbukia kwenye mto ikaka kwa muda kiasi akaitoa imekauka sasa hivi ipo vizuri inatumika atahari ndogo sananakutakia harakati njema me nishaacha matumizi ya vyeti kwa sasa natunza passport kuliko moyo wangu
Kina QR code niliscan ikasoma details zangu chapu haraka sanaKama kina QR code Bar usiweke lamination.
Lamination huaribu hiyo QR hivo kupelekea kushindwa kuhakikiwa ikihitajika
Narudia tena, kama kina QR Code USIWEKE LAMINATION na hii ni vyeti vingi vya kisasa
Cheti cha Kuzaliwa
Form 4
Form 6
University
Ukipiga lamination hiyo QR haisomi na ukibandua lamination ndio unaharibu kabisaKina QR code niliscan ikasoma details zangu chapu haraka sana
It’s a bad idea! Why? Because of:Moja kwa moja..
Siku za nyuma nilienda Veta kuchukua cheti changu , niliistaajabu baada ya kupewa yule Dada aliyenipa aliniambia nisiweke lamination bila kuniambia sababu.
Naomba kujua wajuzi je , ipi inawezekana kuwa sababu ya kuniambia hivyo na je , Kuna madhara yeyote niliweka ? maana vyeti vyangu vingi vya O_level , Advance , kuzaliwa , best student nk vyote nimewekea lamination.
Na bila lamination sidhani kama nitatoboa kwenye utunzaji , na hata nikitoboa itakuwa kwa mbinde sana labda
#UziTayari
Shukran kwa ushauri mzuri , Jazaakallahu khayran .Vyeti vingi vya kisasa hupigwa muhuri wa moto sio ule muhuri tulouzoea kwaio cheti chenye muhuri wa moto ukikipiga lamination muhuri unapotea na inaonekana umefoji hicho cheti
Kuna ile mifuko ya plastick kama kihandbag mbona unatunzia vizuri tu ivo vyeti
Nb: Sikiliza ushauri wa dada wa veta
1. Uwezo wa Msimbo wa QR (QR Code)Kama kina QR code Bar usiweke lamination.
Lamination huaribu hiyo QR hivo kupelekea kushindwa kuhakikiwa ikihitajika
Narudia tena, kama kina QR Code USIWEKE LAMINATION na hii ni vyeti vingi vya kisasa
Cheti cha Kuzaliwa
Form 4
Form 6
University
hii inafanyaje kazi? more info plz
Certified as a true copy of the original
Baada ya kutoa copy unampelekea mwanasheria agonge muhuri ndio itakuwa unatumia Kwa mahitaji ya wakati huo
Waanta kadhalikaShukran kwa ushauri mzuri , Jazaakallahu khayran .
Ngoja niingie Stationery chap nikachukue kifuko now , na kuanzia vyeti vinavyokuja In Shaa Allaah siweki lamination
sawa. pia, hiyo copy au hicho og, unaweza kuweka lamination vyote na ukavitumia?Unatakiwa kutoa Kopi ya hicho cheti/Vyeti
Kisha mpelekee Mwanasheria kwaajili ya kukiidhinisha kwamba ni Nakala kwa nyaraka halisi
Kisha utakuwa unatumia hiyo copy iliyokuwa certified na Mwanasheria badala ya nyaraka halisi