Kuna madhara gani nikiweka ''lamination'' kwenye cheti changu ?

Kiufupi uyo dada amekupenda, anataka muwe mnawasiliana, hatak kukupoteza, jiongeze mkuu.
Hakuna asiyelaminate chet
 
laminate tu mbona mie cheti changu cha uprofesa kutoka pale cambrige university nimelaminate.hakuna tatizo...
 
Lengo lako ni Kutuambia Kuwa wewe ni best student 😁
Inanisadia nini hiyo ? halafu wakati naandika huu Uzi sikuwaza kuweka hivyo idea imekuja katikati nikaamua niweke na Mimi nitambe.

Karibu tena Jf ulipotea sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…