malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Habar wakuu nauliza.. je Kuna madhara yoyote kwa mtoto wa miaka9 kufanya x ray ya mgongo mara mbili ndani ya siku mbili katika hospital tofaut kama mzazi unataka kuhakikisha maradhi ya mtoto, katika hospital nyingine