Kuna madhara nyuzi za tohara zinapobaki mwilini kwa muda mrefu? (Miaka 13)

Mjinga wa Dar

New Member
Joined
Dec 1, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe.
Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale zilipoweka Na sasa ni zaidi ya miaka 13. Je kuna madhara kwenda kuzitoa wakuu?

Au zinapobaki haziwezi leta shida ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…