Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Dah hiyo Avatar yako inanichanganya ,muda mwingine naona ni kiuno ,muda mwingine umesimama naona ka shape kalichovishwa shangaNaombeni kujua Madhara ya kuchanganya dawa aina ya flygyl (flajin) na kilevi
you must be a Dr. by proffesion. Nimeisoma hiyo Disufiram ni hali ambayo mtu anaipata kama ametumia dawa inayomzuia kunywa pombe
'Maziko saa nane mchana'Naombeni kujua Madhara ya kuchanganya dawa aina ya flygyl (flajin) na kilevi
Katika dawa ambazo hazikucheleweshi kukutanguliza kwenye nyumba ya milele Ni hiyo ,majibu Ni papo kwa papo
Nijiuwe Halafu Savana anywe nani?
Hujasikia watu wanasema wanakunywa pombe baada ya masaa nane ya dawa so nilitaka kujua kama flygyl ina same effects.