Kuna Madhara ya kunywa flygiln na Pombe?

Kuna Madhara ya kunywa flygiln na Pombe?

Naombeni kujua Madhara ya kuchanganya dawa aina ya flygyl (flajin) na kilevi
Dah hiyo Avatar yako inanichanganya ,muda mwingine naona ni kiuno ,muda mwingine umesimama naona ka shape kalichovishwa shanga

Yaani sielewi
 
Yani faster tu mzee babaa...!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
you must be a Dr. by proffesion. Nimeisoma hiyo Disufiram ni hali ambayo mtu anaipata kama ametumia dawa inayomzuia kunywa pombe

Disulfiram yenyewe ni dawa.Na Disulfiram like effect ndio madhara sasa anayopata mtu akinywa Disulfiram na pombe.Dawa nyingine ziletazo Disulfiram like effect zikinywewa na pombe ni Metronidazole (Flagyl) ,Cefotetan etc.
 
Back
Top Bottom