captain sparrow
JF-Expert Member
- Apr 11, 2016
- 949
- 2,061
Tulia mkuu sicheki kwasababu umekula ila ujasiri uliokuwa nao mkuu yaan mpaka ukaila nawaza Hapa ilikuwaje kuwaje yaan ukusikia ata harufu...Halafu mzee issue kama hiyo unacheka ina maana umefurahi mimi kufa au sio nilitegemea labda utakuja kunishauri hatua za kuchukua kuepukana na madhara yoyote yatakayoweza kujitokeza ila wewe umekuja hapa kufurahia kifo changu but sawa nitakufa kama ni hivo ambavyo Mungu alipanga kifo changu kiwe