Halafu mzee issue kama hiyo unacheka ina maana umefurahi mimi kufa au sio nilitegemea labda utakuja kunishauri hatua za kuchukua kuepukana na madhara yoyote yatakayoweza kujitokeza ila wewe umekuja hapa kufurahia kifo changu but sawa nitakufa kama ni hivo ambavyo Mungu alipanga kifo changu kiwe