Kuna madhara yoyote kwa jinsia zote kukaa muda mrefu bila kugegedana?

Hakuna Madhara..
Hakuna Cha Moto...
Hakuna Cha Baridi...
we jitahidi kudhibiti fikra za kichwani kila kitu kinakuwa sawa... mihemko huanzia kwenye ubongo kwanza kabla ya kuja chini
Ni kweli kabisa... ukidhibiti kuwaza hayo mambo unaweza kukaa hata miaka kadhaaa bila kula mzigoooo[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zaidi ya miezi Tisa mkuu
Huo muda mchache sana,
Kuna MTU alifungwa kimakosa kwa kusingiziwa na mama wa kambo akiwa bado hajamjua mwanamke,kaja kutoka ana miaka arobaini,hamjui mwanamke kabisa na alikuwa poa tu,km msikilizaji mzuri clouds utakuwa uliwahi mskia akihojiwa,
Japo sasa kapata mke tayari,
Miezi Tisa kwa wengine ni kawaida kabisa,jifunze kudhibiti kichwa
 
Hajawa na element za ukichaa
 
Ni kipi hiko cha moto mkuu
kwa wale waliosoma nadharia za mwanasayansi Lameck alitoa angalizo la kutotumia kiungo chako kinaweza kuwa weak na kupotea kabbisa........: In every animal which has not passed the limit of its development, a more frequent and continuous use of any organ gradually strengthens, develops and enlarges that organ, and gives it a power proportional to the length of time it has been so used; while the permanent disuse of any organ imperceptibly ... PLZ Tutumiane vizuri
 
Nimekusomaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…