smigo4u
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 3,407
- 2,837
alikuwa anapiga nyeto vibaya mno
sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alikuwa anapiga nyeto vibaya mno
Sure.Hakuna Madhara..
Hakuna Cha Moto...
Hakuna Cha Baridi...
we jitahidi kudhibiti fikra za kichwani kila kitu kinakuwa sawa... mihemko huanzia kwenye ubongo kwanza kabla ya kuja chini
[emoji41] [emoji41] [emoji41]alikuwa anapiga nyeto vibaya mno
sent from my SM-galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
How comes
Mpaka uwe ndani ya ndoaKwa nini ukae muda mrefu kama uwezekano wa kupata papuchi upo jamaa yangu?
Ujue siku ya mwisho utakuja kuchomwa kwa dhambi ma makosa ya kujitakia bure?
Hiyo sehemu yenye Maelezo kuhusu wanaume napingana na wewe Mkuu.
- Mwili wako utakosa faida za kiafya ambazo huletwa ukifanya sex..
- Utakuwa mtu wa kuvunjika moyo na kukataa tamaa...
- Utakuwa mtu wa mawazo na mihemuko isiyo na msingi, wewe kitu kidogo tu povu linakutoka...
- Kwa mwanamke, ukee husinya na kukosa rutuba na hupoteza hali ya kulowa mara nyingi hubakia mkavu kitu ambacho siyo kizuri, kwa mwanaume uwezo wa kudinda vizuri hupotea...
- Unakuwa ni mrahisi wa kushambuliwa na magonjwa...
- Uwezo wa kufikiri hupungua...
cc: mahondaw
Thibitisha mkuuHiyo sehemu yenye Maelezo kuhusu wanaume napingana na wewe Mkuu.
Huu ni mwaka wa nane kwangu sijakutana kimwili na mwanamke laakini nipo fiti kila idara .
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh..Utaenda miaka selasini kwa kosa la kubaka,
Madhara ganiMzee madhara yapo, kama umekamilika 100% basi utakua ni lazima unapiga tarumbeta otherwise labda uwe haujakamilika
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ni kwamba itakusababisha ujipoze kwa kupiga puchu kitu ambacho ni hatariMadhara gani
Fafanua mkuuMadhara ni makubwa...kwanza mtachelewa kujua game pili siku mkipiga game mnaweza kuumizana kwa mihemko
mfadhaiko ndo nini???Kuna madhara ya kisaikolojia,unakuwa kama una mawenge hivi unaweza pata mfadhaiko
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji45] [emoji45] [emoji45]Sisi maskini tunaamini sex ni kila muda na inaondoa stress kumbe ni uongo..ndomaana tunazaliana hovyo finally inachochea kuishi kimaskini
Sent using Jamii Forums mobile app
Una uhakika mkuu huwa hawapigi mashine maisha yao yoteHamna madhara yoyote eg mapadre na masista wanaokaa milelee ndo wangeanza na iyo shidaa
Sent using Jamii Forums mobile app