Kuna madhara yoyote kwa jinsia zote kukaa muda mrefu bila kugegedana?

Kuna madhara yoyote kwa jinsia zote kukaa muda mrefu bila kugegedana?

Kwa nini ukae muda mrefu kama uwezekano wa kupata papuchi upo jamaa yangu?

Ujue siku ya mwisho utakuja kuchomwa kwa dhambi ma makosa ya kujitakia bure?
 
  • Mwili wako utakosa faida za kiafya ambazo huletwa ukifanya sex..
  • Utakuwa mtu wa kuvunjika moyo na kukataa tamaa...
  • Utakuwa mtu wa mawazo na mihemuko isiyo na msingi, wewe kitu kidogo tu povu linakutoka...
  • Kwa mwanamke, ukee husinya na kukosa rutuba na hupoteza hali ya kulowa mara nyingi hubakia mkavu kitu ambacho siyo kizuri, kwa mwanaume uwezo wa kudinda vizuri hupotea...
  • Unakuwa ni mrahisi wa kushambuliwa na magonjwa...
  • Uwezo wa kufikiri hupungua...


cc: mahondaw
Hiyo sehemu yenye Maelezo kuhusu wanaume napingana na wewe Mkuu.
Huu ni mwaka wa nane kwangu sijakutana kimwili na mwanamke laakini nipo fiti kila idara .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Madhara ni makubwa...kwanza mtachelewa kujua game pili siku mkipiga game mnaweza kuumizana kwa mihemko
 
Back
Top Bottom