B bitukinao Member Joined Aug 14, 2018 Posts 5 Reaction score 0 Nov 25, 2018 #1 Habari wapendwa.. Naomba kufaham kama kuna madhara yoyote endapo mjamzito atafanya kazi kupita kiasi
Ligogoma JF-Expert Member Joined Aug 27, 2010 Posts 3,503 Reaction score 6,415 Nov 25, 2018 #2 Kazi kupita kiasi 🙄, kazi gani usiku huu? 🤔🤔🤔 Nadhani unaposema kupita kiasi hata kwa asiye mjamzito ni hatari! Too much is harmful! Neanda na kiasi ndugu, tena ni nzuri sana kwa mjamzito kufanya kazi especially zinazofanya mwili uwe kama umefanya mazoezi!
Kazi kupita kiasi 🙄, kazi gani usiku huu? 🤔🤔🤔 Nadhani unaposema kupita kiasi hata kwa asiye mjamzito ni hatari! Too much is harmful! Neanda na kiasi ndugu, tena ni nzuri sana kwa mjamzito kufanya kazi especially zinazofanya mwili uwe kama umefanya mazoezi!
carbamazepine JF-Expert Member Joined Dec 30, 2015 Posts 46,562 Reaction score 285,591 Nov 25, 2018 #3 Mama mjamzito hasa mimba ikiwa changa hashauriwi kufanya kazi nzito maana risk za kupata miscarriage ni kubwa. Mwache apate muda mwingi wa kupumzika
Mama mjamzito hasa mimba ikiwa changa hashauriwi kufanya kazi nzito maana risk za kupata miscarriage ni kubwa. Mwache apate muda mwingi wa kupumzika