Kuna madhara yoyote mjamzito kufanya kazi kupita kiasi

Kuna madhara yoyote mjamzito kufanya kazi kupita kiasi

bitukinao

Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
5
Reaction score
0
Habari wapendwa..
Naomba kufaham kama kuna madhara yoyote endapo mjamzito atafanya kazi kupita kiasi
 
Kazi kupita kiasi 🙄, kazi gani usiku huu? 🤔🤔🤔

Nadhani unaposema kupita kiasi hata kwa asiye mjamzito ni hatari! Too much is harmful!

Neanda na kiasi ndugu, tena ni nzuri sana kwa mjamzito kufanya kazi especially zinazofanya mwili uwe kama umefanya mazoezi!
 
Mama mjamzito hasa mimba ikiwa changa hashauriwi kufanya kazi nzito maana risk za kupata miscarriage ni kubwa.
Mwache apate muda mwingi wa kupumzika
 
Back
Top Bottom