Kazi kupita kiasi π, kazi gani usiku huu? π€π€π€
Nadhani unaposema kupita kiasi hata kwa asiye mjamzito ni hatari! Too much is harmful!
Neanda na kiasi ndugu, tena ni nzuri sana kwa mjamzito kufanya kazi especially zinazofanya mwili uwe kama umefanya mazoezi!