Hao watakaokuona ni akina nani? Umezaliwa mwenyewe na utaondoka mwenyewe, hao watakaokuonaje watazikwa na wewe? Au walizaliwa na wewe? Ishi maisha yako wewe mwenyewe acha kuangalia watuKuna maeneo hapa Dsm ukijitambulisha kuwa unaishi huko automatic utaonekana wewe ni mtu wa hovyo, Low IQ, au low class hata kama una kipato kizuri tu
Mfano wa maeneo hayo ni[emoji1313]
1.Mbagala
2.Tandale
3.Manzese
4.Kigogo
5.Vingunguti
Nyingine mnaweza kuongezea, haya maeneo ukisema unakaa lazima watu watakuona namna fulani hivi
Mengine muongezee
Kuna maeneo hapa Dsm ukijitambulisha kuwa unaishi huko automatic utaonekana wewe ni mtu wa hovyo, Low IQ, au low class hata kama una kipato kizuri tu
Mfano wa maeneo hayo ni[emoji1313]
1.Mbagala
2.Tandale
3.Manzese
4.Kigogo
5.Vingunguti
Nyingine mnaweza kuongezea, haya maeneo ukisema unakaa lazima watu watakuona namna fulani hivi
Mengine muongezee
Na kiseweHupajui Mbagala wewe
Nenda Chamazi sehemu za Paris au Saku
Dar es salaam yote imevurugwa kwa sasaKuna maeneo hapa Dsm ukijitambulisha kuwa unaishi huko automatic utaonekana wewe ni mtu wa hovyo, Low IQ, au low class hata kama una kipato kizuri tu
Mfano wa maeneo hayo ni[emoji1313]
1.Mbagala
2.Tandale
3.Manzese
4.Kigogo
5.Vingunguti
Nyingine mnaweza kuongezea, haya maeneo ukisema unakaa lazima watu watakuona namna fulani hivi
Mengine muongezee
Nimeona...Nimelia sana