Kuna maeneo ukikaa hapa Dar utaonekana ni wa hovyo

Kuna maeneo ukikaa hapa Dar utaonekana ni wa hovyo

Kuna maeneo hapa Dsm ukijitambulisha kuwa unaishi huko automatic utaonekana wewe ni mtu wa hovyo, Low IQ, au low class hata kama una kipato kizuri tu

Mfano wa maeneo hayo ni[emoji1313]

1.Mbagala

2.Tandale

3.Manzese

4.Kigogo

5.Vingunguti

Nyingine mnaweza kuongezea, haya maeneo ukisema unakaa lazima watu watakuona namna fulani hivi

Mengine muongezee
Buza kwa Mparange
 
Kwa watu washamba wanaotoka mikoani ...
Wakija town apa kapata kibalua mia mbili mia tatu bas Kuna maeneo wamekariri ya kuish sinza,mbezi,kinondoni,makumbusho..
Hayo maeneo uloyataja ni ngumu sana kukuta waluga luga Kutoka mikoani mara nyingi ni wazawa t wanaish maeneo hayo..
 
Haya maisha kuna namna wanadamu tunaya complicate na kuyafanya yawe magumu kuliko uhalisia, hasa waafrika.

Kuna ule mjengo wa Messi kule Spain (wa mviringo, nadhani ni catalunya) umezungukwa na msitu naye wala hajali anakula maisha na kule hawamshangai. Njoo kwa mswahili sasa, mbwembwe nyingi kama vile ana mpango wa kuishi miaka 300 kumbe life expectancy inasoma 45!
 
Kuna maeneo hapa Dsm ukijitambulisha kuwa unaishi huko automatic utaonekana wewe ni mtu wa hovyo, Low IQ, au low class hata kama una kipato kizuri tu

Mfano wa maeneo hayo ni[emoji1313]

1.Mbagala

2.Tandale

3.Manzese

4.Kigogo

5.Vingunguti

Nyingine mnaweza kuongezea, haya maeneo ukisema unakaa lazima watu watakuona namna fulani hivi

Mengine muongezee
Leteni na list ya jijini Mwanza, tujijue kama tunakaa sehemu za low IQ na low class 😆
 
Kusema Kweli kuishi Maeneo kama Buguruni Moto huko ndiyo yana patikana Soko Mjinga.. Unakosa utulivu wa akili ambao ndiyo chanzo cha maarifaa..
 
Back
Top Bottom