Kuna maeneo ukikaa hapa Dar utaonekana ni wa hovyo

Ukiishi bila kuangalia nani atanionaje utafika mbali ukiwaangalia watu watakukwamisha.
Ishi utakavyo ukizingatia haya

Usiwe chukizo kwa Mungu
Familia yako ( Ulowazaa na Mkeo) waishi sehemu salama kwa mali,afya zao
 
Buza kwa Mparange
 
Kwa watu washamba wanaotoka mikoani ...
Wakija town apa kapata kibalua mia mbili mia tatu bas Kuna maeneo wamekariri ya kuish sinza,mbezi,kinondoni,makumbusho..
Hayo maeneo uloyataja ni ngumu sana kukuta waluga luga Kutoka mikoani mara nyingi ni wazawa t wanaish maeneo hayo..
 
Haya maisha kuna namna wanadamu tunaya complicate na kuyafanya yawe magumu kuliko uhalisia, hasa waafrika.

Kuna ule mjengo wa Messi kule Spain (wa mviringo, nadhani ni catalunya) umezungukwa na msitu naye wala hajali anakula maisha na kule hawamshangai. Njoo kwa mswahili sasa, mbwembwe nyingi kama vile ana mpango wa kuishi miaka 300 kumbe life expectancy inasoma 45!
 
Leteni na list ya jijini Mwanza, tujijue kama tunakaa sehemu za low IQ na low class πŸ˜†
 
Kusema Kweli kuishi Maeneo kama Buguruni Moto huko ndiyo yana patikana Soko Mjinga.. Unakosa utulivu wa akili ambao ndiyo chanzo cha maarifaa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…