Kuna magari Tanzania ukimiliki unaweza kupitia humo humo kwenye mambo yako.

Kuna magari Tanzania ukimiliki unaweza kupitia humo humo kwenye mambo yako.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ni ngumu sana gari aina ya V8 zile ambazo utumiwa na serikali kusimamishwa ovyo kama utakuwa probox au passo.

Na wakikusimamisha uwanza kujitafakari maana walishajengewa kuwa wenye magari haya ni wakubwa wasio guswa.
IMG_0878.jpeg
 
Back
Top Bottom