Kuna magari ya Dodoma-Arusha kuanzia saa saba mchana?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu Wakuu, napenda kujua usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Arusha upoje!
Nafahamu kuna magari ya Asubuhi na Hadi saa 3.
Vipi kuanzia saa 7mchana!?
 
Saa 7 upande zinazotoka Mbeya kwenda Arusha,mara nyingi hua zinaanza kufika saa 8 mchana na kuendelea
 
Salamu Wakuu, napenda kujua usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Arusha upoje!
Nafahamu kuna magari ya Asubuhi na Hadi saa 3.
Vipi kuanzia saa 7mchana!?
Vizia za kampeni za CCM hawatozi nauli kwakua wao wanafaidika kwa kujaza abiria.
 
Zipo chuma zinazotoka mbeya-Arsh znapita dom saa 8 kwenda arsha
 
Yapo magari mpaka saa 9 alasiri kutoka mbeya arusha
 
Back
Top Bottom