Ulizia zinazofanya safari toka mbeya kwenda arusha zinapita dodoma muda gani? ni baada ya muda huo nazaniSalamu Wakuu,napenda kujua usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Arusha upoje!
Nafahamu Kuna magari ya Asubuhi na Hadi saa 3.
Vipi kuanzia saa 7mchana!?
Saa 7 upande zinazotoka Mbeya kwenda Arusha,mara nyingi hua zinaanza kufika saa 8 mchana na kuendeleaSalamu Wakuu, napenda kujua usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Arusha upoje!
Nafahamu kuna magari ya Asubuhi na Hadi saa 3.
Vipi kuanzia saa 7mchana!?
Vizia za kampeni za CCM hawatozi nauli kwakua wao wanafaidika kwa kujaza abiria.Salamu Wakuu, napenda kujua usafiri wa kutoka Dodoma kwenda Arusha upoje!
Nafahamu kuna magari ya Asubuhi na Hadi saa 3.
Vipi kuanzia saa 7mchana!?
Si mpaka awe na T-shirt ya kijani au kofia?Yatasimama kweli bila hivyo?Vizia za kampeni za CCM hawatozi nauli kwakua wao wanafaidika kwa kujaza abiria.