Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Nakumbuka kwa Marehemu ruge tu,sio kwao pesa hakuna au watu wake wa karibu ila magonjwa mengine kama yanachukua pesa nyingi hupo kitandani tena ICU basi watu wanaomba uteuzi wa manyonyo kutaka amani sio haki.
Nimeshuudia mzee mmoja umri miaka 89 kalazwa hospital na familia yake ina pesa ya maana ila waliona kuangaika na kulipa pesa nyingi wapunguze ili wasubiri msiba.
Kwa wenzetu trump wanacho nifurahisha wanajua half life yako ili wasisumbuke kukumalizia pesa za bima ni kukufata na kukwambia tu mawili ,tuna kupa siku huyu ni miujiza au unatumia bima mpaka utakapoona muujiza.
Mtu ubongo umekufa na hapo ni hospital za ulaya na kila kitu wanacho na madaktari wakubwa wanakuangaikia wanakupa majibu.
Huku kwetu unaweza kuwa ulishafariki wiki iliyopita hupo mwochwari waka kwambia hupo ICU.