Tena yanga iliyodhoofu hali kwa simbaSimba wanajiandaa kimataifa kwa kuchukua makapi ya yanga, ajabu sana
Mashabiki wa Utopolo Luc hakukosea kuwaita kua mnaropoka ka manyani.Ukweli unaouma Simba na Yanga zinatumia muda na nguvu nyingi sana kufikiri na kufanya mambo ili kuumizana wao kwa wao; badala ya jinsi ya kufanikiwa kimataifa Kila hatua, kila kitu wanafanya wanafikiria Mtani wa Jadi! Tunajibakisha Ndondo kwa fikra hii.
Naipenda na naiheshimu timu yangu sana. Naipa muda nione matokeo ya mkakati huu. Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa. Zile tano zitahusika nasi sana tu ugenini; hata kama tutashinda nyumbani Muda utaongea.
Yanga ilifika wapi kimataifa.linganisha na Simba.Kawaida yao! Hawafiki popote, tutaishia kombe la "karia" na simba yake!
Nje ya Tanzania ni 5 kama kawaUkweli unaouma Simba na Yanga zinatumia muda na nguvu nyingi sana kufikiri na kufanya mambo ili kuumizana wao kwa wao; badala ya jinsi ya kufanikiwa kimataifa Kila hatua, kila kitu wanafanya wanafikiria Mtani wa Jadi! Tunajibakisha Ndondo kwa fikra hii.
Naipenda na naiheshimu timu yangu sana. Naipa muda nione matokeo ya mkakati huu. Lakini kimataifa sijaona kama tumefanya chochote mpaka sasa. Zile tano zitahusika nasi sana tu ugenini; hata kama tutashinda nyumbani Muda utaongea.
Huo muda wa kufanya hayo maigizo waliutoa wapiNenda Instagram wameondoa post zote za Morrison akisaini zile nyaraka feki maana ni plain paper
Ni kweli kabisa kupunguza magoli ugenini ni swala la mbinu tu. Unafikiri hao Al Ahly wana beki nzuri sana? Wanachofanya ni kuwa compact ugenini, sio kufunguka kama alivyokuwa anafanya Aussems.Hahahaha we jamaa umenichekesha kinoma. Eti mmeanza na ame na kameta. yaani hao ndio wakupunguza zile 5?
Bado ni speculations. Hata hivyo Simba wanakosa weledi.Hadi sasa sipati picha kitakacho kuja kujitokeza baada ya kikao na tff
Kama Simba tunawaza kuhusu hizo klabu kubwa mbona sijawahi kumuona Manara akiongelea habari za mpira wa kimataifa? Kila siku anarumbana na mashabiki wa Yanga.Simba na Yanga saivi ni zaidi ya uadui hamna utani tena, hili garasha lenu morison mnaongea sana kisa tumemsajili ila atatusaidia kuwafunga nyie vyura.
Saivi tunawaza kushindana na As vita, Tp mazembe, M sundowns sio utopolo wa kupiga 4G
Utopolo tulieni tukawatafutie nafasi za viti maalum mwakani na nyie mshiriki mnaanza kuleta gubu la mke mwenza
Hakika huko ndiyo mwisho wa mchezo, na kikao cha TFF na wahusika wa simba na yanga ndiyo moto utakapo waka.TFF wako upande wa Mikia kuiumiza Yanga. Hili jambo mwisho wake ni CAS.
Senzo leo ndiyo anaenda kumwaga siri zenu zote pale TFFLengo letu ni kuwatoa kwenye reli, maana sisi tupo kamili hata bila Morrison
Simba haijaitwa TFF. Wanaoshtakiana ni Yanga SC na Morrison. Au pengine hujui kesi ya msingi ni niniSenzo leo ndiyo anaenda kumwaga siri zenu zote pale TFF
Ni kweli kabisa kupunguza magoli ugenini ni swala la mbinu tu. Unafikiri hao Al Ahly wana beki nzuri sana? Wanachofanya ni kuwa compact ugenini, sio kufunguka kama alivyokuwa anafanya Aussems.
Na kuonesha ubovu wa kocha alikuwa anachezesha strikers wawili ugenini wakati timu inashambuliwa almost 70% ya muda wa mchezo. Sasa hiyo ni akili au matope?
unaota wewe . . Yaani Al Ahly umfunge goli nne kwake ? Hata kina Wydad Casablanca na Raja Casablanca hawawezi. Endelea kuota tuKulia atakimbiza Morrison, Kushoto atakimbiza Miquosone. Sub Deo Kanda, Sub Kahata. Hapo hamna hamna mpaka half time Al Ahly 0-4 Simba, Tena tuko away Misri hapo.